Sherehe Ya Yesu Kristo Mfalme Wa Ulimwengu Vatican News Yesu kristo – nabii, kuhani, na mfalme na ellis p. forsman oktoba 7, 2011 yesu kristo – nabii, kuhani, na mfalme (jesus christ – prophet, priest, and king) 2. Kwa hakika, woodward alisema, “ukosefu wa ushahidi wa nje wa kibiblia kuhusu kuwepo kwa yesu umesababisha wakosoaji kadhaa kufikia hitimisho kwamba yeye ni hadithi ya kikristo iliyoundwa na kanisa la awali” (2000, 135 [13]:53). lakini, woodward alikiri, “kristo wa injili hakika ndiye yesu anayejulikana zaidi duniani.
Yesu Kristu Mfalme Audio Youtube Aidha, mnamo mwaka 550 k.k., confucius alisema: “usifanye kwa mwingine usichotaka kufanyiwa wewe mwenyewe.”. kristo alitoa tamko karibu sawa takriban miaka 600 baada ya confucius kunena hivyo: “na kama mnavyotaka watu wawatendee, watendeeni vivyo hivyo” (luka 6:31). mifano pia ipo kati ya hadithi za buddha na yesu. Yesu alijibu; wewe wasema, kwa kuwa mmi ni mfalme (yn.18:37). kwa mwaka mzima kanisa limetukumbusha ya kwamba: kristo ni mfalme na mchungaji mwema wa wanadamu wote kwa maisha ya sasa hapa duniani na maisha yajayo mbinguni baada ya kufa kwani yeye ndiye mfalme, hakimu na mwokozi wetu. kumbe iwe tu hai au tumekufa, kama anavyotuambia mtume paulo. Matthew 1. new king james version. the genealogy of jesus christ. 1 the book of the genealogy[a] of jesus christ, the son of david, the son of abraham: 2 abraham begot isaac, isaac begot jacob, and jacob begot judah and his brothers. 3 judah begot perez and zerah by tamar, perez begot hezron, and hezron begot ram. 4 ram begot amminadab. Somo hili linatuonyesha kuwa kristo ni mfalme mwenye nguvu na ukuu wake hauna mwisho. ni “mkuu wa wafalme wa dunia” (ufu 1:5), “mfalme wa wafalme na bwana wa mabwana” (ufu 19:16). yohani anapotumia cheo au jina hilo anawakumbuka wakuu wa warumi ambao kimsingi walikuwa wametawala ulimwengu wote uliojulikana kwa wakati ule kuwa yesu ndiye.
Kristo Yesu Ni Mfalme Mwokozi Na Mkombozi Wa Ulimwengu Wote Matthew 1. new king james version. the genealogy of jesus christ. 1 the book of the genealogy[a] of jesus christ, the son of david, the son of abraham: 2 abraham begot isaac, isaac begot jacob, and jacob begot judah and his brothers. 3 judah begot perez and zerah by tamar, perez begot hezron, and hezron begot ram. 4 ram begot amminadab. Somo hili linatuonyesha kuwa kristo ni mfalme mwenye nguvu na ukuu wake hauna mwisho. ni “mkuu wa wafalme wa dunia” (ufu 1:5), “mfalme wa wafalme na bwana wa mabwana” (ufu 19:16). yohani anapotumia cheo au jina hilo anawakumbuka wakuu wa warumi ambao kimsingi walikuwa wametawala ulimwengu wote uliojulikana kwa wakati ule kuwa yesu ndiye. Kuhani mkuu yesu kristo. 14 hivyo basi, kwa kuwa tunaye kuhani mkuu aliyepitia mbingu, yesu mwana wa mungu, tushikilie kwa uthabiti imani yetu tunayoikiri. 15 kwa maana huyu kuhani wetu mkuu si kuhani ambaye hawezi kutuhurumia katika udhaifu wetu, bali ni kuhani ambaye kwa kila hali amejaribiwa kama sisi, lakini pasipo kutenda dhambi. 16 kwa hiyo basi, tusogelee kiti cha neema kwa ujasiri, ili. Hapa kuna njia tatu unazoweza kumtafuta yesu kristo unapochunguza agano la kale mwaka huu. 1. maandiko ambayo humzungumzia yesu kristo yakitumia jina tofauti. katika agano la kale, yesu kristo mara nyingi ameitwa “bwana” au “mungu.”. matoleo ya biblia zinazochapishwa na kanisa hili hujumuisha tanbihi ambazo zinaweza kukusaidia kuelewa.