Vitabu Vya Sheria Sheria Kwa Kiswahili Vitabu – uliza sheria. karibu kwenye ukurasa wa vitabu. vitabu hivi vinakwenda kukupa maarifa zaidi katika sheria ya ajira. vitabu hivi vinakupa masomo ya ndani zaidi jinsi ya kutambua haki na wajibu wa mwajiri na mfanyakazi kwa mujibu wa sheria za ajira. je, wewe ni mwajiri au mwajiriwa? – nakala tete (soft copy) tsh.4,000 tu. Katika mtandao yetu ya uliza sheria utakutana na makala nzuri za kisheria zinazokupa mwongozo katika maeneo mbalimbali ya kimaisha, uchambuzi wa sheria mbalimbali, sehemu ya maswali na majibu, uchambuzi wa kesi n.k. uliza sheria inakuja kama suluhu ya kumwezesha msomaji kuwa na uwezo wa kutatua changamoto za kisheria yeye mwenyewe.
Vitabu Vya Sheria Sheria Kwa Kiswahili Kuhusu sisi. uliza sheria imekuja kama suluhisho la matatizo mbali mbali ya kisheria yanayoikumba jamii yetu. taaluma ya sheria ni moja ya taaluma muhimu sana katika ustawi wa jamii yoyote ya kistaarabu. ni muhimu sana jamii ikafahamu mambo ya msingi yanayohusu wajibu na haki zao. ulizasheria inakuja kama jibu katika changamoto na maswali. Uliza sheria. 2,333 likes · 1 talking about this. uliza sheria ni suluhisho la matatizo na changamoto za kisheria ambazo zinaikumba jamii yetu. hapa utapata elimu ya sheria na kujibiwa maswali yako . Kuhusu isaack zake. isaack zake ni wakili wa kujitegemea na mshauri katika masuala mbalimbali ya sheria za kazi na rasilimali watu, ndoa na sheria za ardhi na mikataba. isaack zake ni mwanzilishi wa mtandao wa kutoa elimu, ushauri na msaada wa kisheria wa ulizasheria.co.tzni mwandishi wa vitabu na makala mbalimbali kwenye nyanja za kisheria. Jaji mlyambina wakati akipokea vitabu vya ‘auda’s index to the laws tanzania from 1920 to 2021 volume 1 hadi 3, ambapo kila volume’ zipo nakala 13, vikiwemo vitabu vingine mbalimbali vya sheria ambavyo jumla yake 218, vilivyotolewa na wakili na mwandishi wa vitabu vya sheria, audax. vedasto.
Vitabu Vya Sheria For Android Download Kuhusu isaack zake. isaack zake ni wakili wa kujitegemea na mshauri katika masuala mbalimbali ya sheria za kazi na rasilimali watu, ndoa na sheria za ardhi na mikataba. isaack zake ni mwanzilishi wa mtandao wa kutoa elimu, ushauri na msaada wa kisheria wa ulizasheria.co.tzni mwandishi wa vitabu na makala mbalimbali kwenye nyanja za kisheria. Jaji mlyambina wakati akipokea vitabu vya ‘auda’s index to the laws tanzania from 1920 to 2021 volume 1 hadi 3, ambapo kila volume’ zipo nakala 13, vikiwemo vitabu vingine mbalimbali vya sheria ambavyo jumla yake 218, vilivyotolewa na wakili na mwandishi wa vitabu vya sheria, audax. vedasto. Vitabu; uliza; shop; blog; isaack zake pia ni mkurugenzi wa idara ya sheria na uhusiano wa chama cha ni mwandishi wa vitabu na makala mbalimbali kwenye nyanja. Feb 17, 2016. #1. habari wakuu, nimeamua kutunga vitabu vya sheria kwa kiswahili ili kuweza kuchangia ktk ulimwengu wa haki na sheria. ndani ya kitabu hiki kuna mada zifuatazo,haki zako unapokamatwa na polisi, namna ya kupata dhamana polisi au mahakamani, haki za msingi za binadamu na historia yake, sehemu ya kwenda haki zako zinapovunjwa.
Vitabu вђ Uliza Sheria Vitabu; uliza; shop; blog; isaack zake pia ni mkurugenzi wa idara ya sheria na uhusiano wa chama cha ni mwandishi wa vitabu na makala mbalimbali kwenye nyanja. Feb 17, 2016. #1. habari wakuu, nimeamua kutunga vitabu vya sheria kwa kiswahili ili kuweza kuchangia ktk ulimwengu wa haki na sheria. ndani ya kitabu hiki kuna mada zifuatazo,haki zako unapokamatwa na polisi, namna ya kupata dhamana polisi au mahakamani, haki za msingi za binadamu na historia yake, sehemu ya kwenda haki zako zinapovunjwa.
Vitabu вђ Uliza Sheria