Ujue Mzunguko Wa Hedhi Na Siku Za Hatari Za Kushi Siku za mwisho za mzunguko wa hedhi (siku 22 30): kabla ya kuanza kwa hedhi mpya, ambapo uwezekano wa kupata mimba unaweza kuwa mdogo. siku hatari: siku za ovulisheni (kawaida ni siku 15): siku hii ndio ambayo yai hutolewa kutoka kwenye ovari na inaweza kutungwa na shahawa, hivyo kuongeza uwezekano wa kupata mimba. Baada ya kujua urefu wa mzunguko wako chagua (pin point) yani siku ile ya mwisho halafu uhesabu kurudi nyuma (backwards) siku kumi na tano kuanzia siku ile ya mwisho yani siku kumi na tano kuanzia mwisho ndio siku ya mimba, hapa namaansha ukishafahamu siku ya kumi na tano kutoka mwisho hukuwezesha kufaham siku ya kupata ujauzito.
Mzunguko Wa Hedhi Fahamu Mzunguko Wako Na Ujue Siku Kuna aina tofauti za matibabu; ya kawaida ni kutumia dawa za maumivu kama inahitajika, au kutumia vidonge vya majira. wanawake wengi huona kuwa wanaweza kuwa na udhibiti mzuri wa dalili zao. maumivu yanapokuwa makali, mtu hushauriwa kumuona mtaalamu wa afya kwa matibabu zaidi. 4. ukiwa una wasiwasi kuhusu dalili zako za hedhi, pakua app ya ada. Chansi ya kushika mimba kwa mwanamke unaongezeka na kupungua kulingana na mwenendo wa siku zako za yai kupevuka. uwezekano wa kushika mimba siku ya kwanza na ya pili ya hedhi ni mdogo sana chini ya asilimia 1. baada ya kuanza hedhi kwenye siku ya 13 uwezekano wa kushika mimba ni karibu asilimia 9 na chansi kuongezeka zaidi siku ya ovulation. Ili tuelewane vizuri tutatumia mzunguko wa wastani wa siku 28 ambao umegawanyika katika makundi matatu. ⇛ siku za hedhi, zinaitwa siku za damu. ⇛ siku za mimba, zinaitwa siku za hatari au siku za uzazi. ⇛ na siku zisizokuwa za kupata mimba, zinaitwa siku salama. siku yako ya kwanza ya mzunguko wako wa mwezi ndio siku ya kwanza ya umepata. Siku ya 1: sitisha kutumia uzazi wa mpango ili kushika ujauzito haraka. kama unahitaji kushika mimba, itakulazimu kusitisha matumizi ya uzazi wa mpango. utashika mimba mapema tu baada ya kuacha kutumia njia baadhi za kuzuia mimba kama kondomu, kitanzi na vidonge. wanawake wengi hushika mimba wiki mbili tu baada ya kuacha uzazi wa mpango.
Shunda Blog Tambua Mzunguko Wako Wa Hedhi Kwa Mwanamke Siku Salama Ili tuelewane vizuri tutatumia mzunguko wa wastani wa siku 28 ambao umegawanyika katika makundi matatu. ⇛ siku za hedhi, zinaitwa siku za damu. ⇛ siku za mimba, zinaitwa siku za hatari au siku za uzazi. ⇛ na siku zisizokuwa za kupata mimba, zinaitwa siku salama. siku yako ya kwanza ya mzunguko wako wa mwezi ndio siku ya kwanza ya umepata. Siku ya 1: sitisha kutumia uzazi wa mpango ili kushika ujauzito haraka. kama unahitaji kushika mimba, itakulazimu kusitisha matumizi ya uzazi wa mpango. utashika mimba mapema tu baada ya kuacha kutumia njia baadhi za kuzuia mimba kama kondomu, kitanzi na vidonge. wanawake wengi hushika mimba wiki mbili tu baada ya kuacha uzazi wa mpango. 3.kupata siku yako ya kwanza ya hatari chukua namba ya mzunguko mfupi zaidi toa 18, mfano mzunguko wako mfupi ni siku 27 18 inabaki 9. 4.kupata siku yako ya mwisho ya hatari kwenye mzunguko, chukua siku za mznguko wakko mrefu toa 11. mfano mzunguko wako mrefu ilikuwa siku 30 11 inabaki 19. 5.katika mahesabu hapo juu ni kwamba siku kati ya. Mzunguko wa hedhi huendeshwa na homoni mbalimbali za mwili. wakati wa mzunguko wa hedhi, sehemu za kwenye ubongo ziitwazo ‘hypothalamus’ na ‘pituitary gland’ hupeleka taarifa za homoni kwenda kwenye ovari na kurudi kwenye ubongo. taarifa hizi huziweka ovari na mfuko wa uzazi tayari kwa ajili ya kubeba mimba. kwanza pituitary gland hutoa.
Jinsi Ya Kuhesabu Siku Za Mzunguko Wa Hedhi Yako Mzunguko Waо 3.kupata siku yako ya kwanza ya hatari chukua namba ya mzunguko mfupi zaidi toa 18, mfano mzunguko wako mfupi ni siku 27 18 inabaki 9. 4.kupata siku yako ya mwisho ya hatari kwenye mzunguko, chukua siku za mznguko wakko mrefu toa 11. mfano mzunguko wako mrefu ilikuwa siku 30 11 inabaki 19. 5.katika mahesabu hapo juu ni kwamba siku kati ya. Mzunguko wa hedhi huendeshwa na homoni mbalimbali za mwili. wakati wa mzunguko wa hedhi, sehemu za kwenye ubongo ziitwazo ‘hypothalamus’ na ‘pituitary gland’ hupeleka taarifa za homoni kwenda kwenye ovari na kurudi kwenye ubongo. taarifa hizi huziweka ovari na mfuko wa uzazi tayari kwa ajili ya kubeba mimba. kwanza pituitary gland hutoa.
Je Wajua Jinsi Ya Kuhesabu Mzunguko Wako Wa Hedhi Na Jinsi Ya Kujua