Misa Takatifu Dominika Ya Mwili Na Damu Takatifu Ya Bwana Wetu Yesu Maana ya damu na mwili aliyoisemea yesu tunaipata hapa “walipokuwa wakila, yesu akachukua mkate, akashukuru, akaumega na kuwapa wanafunzi wake akisema, “kuleni, huu ndio mwili wangu.’’ 23kisha akachukua kikombe, akashukuru, akawapa wanafunzi wake, wote wakanywa kutoka humo. 24akawaambia, “hii ndiyo damu yangu ya agano, imwagikayo kwa ajili ya wengi. 25amin nawaambia, sitakunywa tena. Kitenzi kula kinasikika leo mara 11 na mara nne kwa kweli yesu anawaalika kula sio kwa namna ile ya kawaida ya kula bali kumla kama vile simba mwenye njaa anavyokula mzoga wa nyama. kula huko kwa kusukumwa na njaa na kiu isiyokuwa ya kawaida, na ndio kila mkristo anapaswa kuwa na njaa na kiu ya kula mwili na kunywa damu yake bwana wetu yesu kristo.
Mwili Na Damu Takatifu Ya B W Yesu Kristu Youtube Padre paschal ighondo vatican. tafakari ya neno la mungu, katika sherehe ya ekaristi takatifu mwaka c wa kiliturujia. sherehe hii kimsingi inapaswa kuadhimishwa siku ya alhamisi kuu, siku ambayo yesu aliweka sakramenti ya ekaristi takatifu kwa kuwaambia wanafunzi wake; “fanyeni hivi kwa ukumbusho wangu” (lk. 22:19). Tafakari jumapili 20 ya mwaka b: fumbo la mwili na damu ya yesu! kristo yesu anajitambulishwa kwa kusema: “ego eimi”, yaani, "mimi ndimi". ni utambulisho ambao wengi baada ya kumsikia wanakwazika nayo, kwani yesu anajitambulisha juu ya umungu wake, aliyetoka mbinguni, aliye kweli chakula na kinywaji cha uzima wa milele. Ee sayuni umtukuze, uwezavyo umwimbie mkombozi na mwalimu, apitaye kila sifa (kwa nyimbo na shangwe kuu, itokayo kwao watu) x2 2. ee mchungaji wetu mwema, yesu utuhurumie utuchunge utulinde, ewe mlinzi wetu mwema (utupe me ma yako, kwenye raha ya milele) x2 3. 00:00 mwili wa bwana yesu02:38 hii ni ekaristi08:01 ekaristia ni chakula12:22 mezani pake17:12 nitajongea meza yako.
Dominika Ya Sikukuu Ya Mwili Na Damu Ya Yesu Kristo 2 Yout Ee sayuni umtukuze, uwezavyo umwimbie mkombozi na mwalimu, apitaye kila sifa (kwa nyimbo na shangwe kuu, itokayo kwao watu) x2 2. ee mchungaji wetu mwema, yesu utuhurumie utuchunge utulinde, ewe mlinzi wetu mwema (utupe me ma yako, kwenye raha ya milele) x2 3. 00:00 mwili wa bwana yesu02:38 hii ni ekaristi08:01 ekaristia ni chakula12:22 mezani pake17:12 nitajongea meza yako. Ekaristi ni sakramenti ya mwili na damu ya yesu kristo, katika maumbo ya mkate na divai. sakramenti hii iliwekwa na yesu mwenyewe kwenye karamu ya mwisho, siku ya alhamisi jioni kabla ya mateso yake. (yoh 6:1 71; mt 26:26 28). Masomo ya misasherehe ya mwili na damu ya bwana wetu yesu kristu (jumapili, juni 23, 2019) somo la 1mwa 14:18 20melkizedeki mfalme wa salemu akaleta mkate n.
Sherehe Ya Mwili Na Damu Ya Bwana Wetu Yesu Kristu Youtube Ekaristi ni sakramenti ya mwili na damu ya yesu kristo, katika maumbo ya mkate na divai. sakramenti hii iliwekwa na yesu mwenyewe kwenye karamu ya mwisho, siku ya alhamisi jioni kabla ya mateso yake. (yoh 6:1 71; mt 26:26 28). Masomo ya misasherehe ya mwili na damu ya bwana wetu yesu kristu (jumapili, juni 23, 2019) somo la 1mwa 14:18 20melkizedeki mfalme wa salemu akaleta mkate n.