Maombi Ya Kufungua Malango Na Milango 2 Welcome To Pastor Katunzi Blog Zekaria 10:2. imani ni ufunguo wa kufungua malango na milango, tunaona senakeribu analeta majeshi yake akiwa ameazimia kupiga watu wa mungu na kuwatawala. mfalme hezekia akasema na watu wake ili apate wakuwajenga kiimani. “iweni hodari, na wa moyo mkuu, msiogope, wala msifadhaike kwa sababu ya mfalme wa ashuru, wala kwa majeshi yote walio. Katika kitabu hiki nitafundisha aina ya maombi ya kufungua malango na milango. kuomba maana yake ni kumwita mungu. “katika shida yangu nalimwita bwana, na kumlalamikia mungu wangu. akaisikia sauti yangu hekaluni mwake, kilio changu kikaingia masikioni mwake.”. zaburi 18:6.
Maombi Ya Kufungua Malango Ya Kila Siku Vol 02 By Bishop Fj Nehemia 13:2. malango yalipofungwa mbele ya wana wa israeli, mtumishi wa mungu nehemia aliitisha maombi ya kufungua malango na milango muda wa miezi minne mfululizo. “hata ikawa niliposikia maneno hayo, nikaketi, nikalia, nikaomboleza siku kadha wa kadha; kisha nikafunga, nikaomba mbele za mungu wa mbinguni.”. nehemia 1:4. Zekaria 10:2. imani ni ufunguo wa kufungua malango na milango, tunaona senakeribu analeta majeshi yake akiwa ameazimia kupiga watu wa mungu na kuwatawala. mfalme hezekia akasema na watu wake ili apate wakuwajenga kiimani. “iweni hodari, na wa moyo mkuu, msiogope, wala msifadhaike kwa sababu ya mfalme wa ashuru, wala kwa majeshi yote yalio. Muhubiri 11:4 5. kwa imani katika kristo yesu yatupasa kukataa yaliyokinyume na imani na tukiri yakuwa anaweza kufanya mambo yote; aweza kufungua milango na malango yaliyofungwa. bwana yesu kristo anamtumia mtu aliye tayari kutumika na si vinginevyo. acha kujiua kwa maneno ya kinywa chako. Endelea kufuatilia vipindi mbalimbali na mahubiri kutoka kwa mtumishi wa mungu bishop fj katunzi ambae ni mwalimu wa neno la mungu, mhubiri wa injili, mwandi.
Maombi Ya Fungua Malango Na Milango 10 Muhubiri 11:4 5. kwa imani katika kristo yesu yatupasa kukataa yaliyokinyume na imani na tukiri yakuwa anaweza kufanya mambo yote; aweza kufungua milango na malango yaliyofungwa. bwana yesu kristo anamtumia mtu aliye tayari kutumika na si vinginevyo. acha kujiua kwa maneno ya kinywa chako. Endelea kufuatilia vipindi mbalimbali na mahubiri kutoka kwa mtumishi wa mungu bishop fj katunzi ambae ni mwalimu wa neno la mungu, mhubiri wa injili, mwandi. Maombi: maana yake ni kusemezana na mungu au kutafuta uso wa bwana; katika hali ya unyenyekevu na kicho “toka mbinguni bwana aliwachungulia wanadamu, aone kama yuko mtu mwenye akili, amtafutaye mungu.”. zaburi 13:2. katika kipengele hiki tunakwenda kujifunza maombi kama ufunguo wa kufungua milango na malango yaliyofungwa. “bwana akamtokea. Maombi ya fungua malango na milango sehemu ya 7. na mchungaji florian katunzi eagt city center. silaha nane za kufungua milango na malango yaliyofungwa mbele yako. bwana apewe sifa. bado naendela na mfululizo wa somo hili ambapo katika makala zilizopita nilikufundisha aina tano za funguo za kufungua malango na milango.